Happy birthday to you To yeye

Happy birthday to you To yeye

Ndo anaingia?
😅😅😅 angalia kivuli chake
Screenshot_20230910-082802.png
 
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina🙏
Happy birthday to you 🎉🎉🍰🍰
 
Back
Top Bottom