sikumbuki hili swaliHivi ulinijibu nilipouliza huyo anatoka au anaingia gizani?
sikuona basi.. π₯΄π₯΄Nilikuuliza kule Usiku wa manane
π π huyo ameingia baada ya kuwa amefungiwa..Niliuliza hiyo avatar yako huyo mtu anatoka gizani au anaingia gizani? Mie wangu anaitafuta Nuru
π π π angalia kivuli chakeNdo anaingia?
π π π angalia kivuli chakeView attachment 2744681daaah,ndo anaingia gizani..... tufanye tutoke huko mwambaπ
Acha tuendelee na mapenzi ya kuviziana kama paka shume tu,ndicho tunachostahili!Thank you so much ππ
39?
Hahahaaa.....Nitawapa wangapi mwee?
Happy birthday to you πππ°π°Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.
Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.
Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.
Aminaπ