Happy Birthday to you

Happy Birthday to you

P h a r a o h

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
785
Reaction score
1,413
Ni siku mpya hii, pia kwa ndugu wengine ni siku muhimu ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwao.

Kama umezaliwa siku kama ya leo tujuze basi maana sisi ni familia.

Japo hatuwezi kukumwagia maji, tutakupa wishes, ambazo pia zitaweza kukumotivate, na kufanya siku yako iwe njema na uifurahie zaidi.

Ukiweka na picha yako na kutuelezea story yako kidogo itakua vyema sana.

Heri ya siku ya kuzaliwa kwako.
 
Back
Top Bottom