Happy Birthday Twaha Mwaipaya

Happy Birthday Twaha Mwaipaya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Pamoja na kwamba umewekwa kwenye ile orodha ya "sisimizi' lakini hujakata Tamaa, Umeendelea kuwaelimisha Vijana wa Tanzania kwamba kumbe wao wanaweza kuishi bila kuwa Chawa wala bila kuwa ngazi ya wengine kupandia.

Umefunua uchafu mwingi sana kutoka kwenye mambo mengi mno, hadi ukawekwa gerezani, Wewe ni Nuru ya Vijana wengi sana.

Mungu aendelee kukulinda

Screenshot_2024-09-29-15-01-54-1.png
 
Pamoja na kwamba umewekwa kwenye ile orodha ya "sisimizi' lakini hujakata Tamaa, Umeendelea kuwaelimisha Vijana wa Tanzania kwamba kumbe wao wanaweza kuishi bila kuwa Chawa wala bila kuwa ngazi ya wengine kupandia.

Umefunua uchafu mwingi sana kutoka kwenye mambo mengi mno, hadi ukawekwa gerezani, Wewe ni Nuru ya Vijana wengi sana.

Mungu aendelee kukulinda

View attachment 3110277
Waoga wasaliti wanatakiana heri!
 
Erythrocyte na mwenzie twaha walikula winga ya kushoto na kupotelea kusikojulikana,wakamwacha mwenyekiti na mwanae wakiswekwa kwenye karandinga.
 
Back
Top Bottom