Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 Jan 22, 2018 #1 Heri ya siku ya kuzaliwa ya mwanamke mzuri wa sura hadi roho yake, mwenye kuvutia. Wewe ni mzuri na mtamu zaidi kuliko chochote Upendo wangu kwako ni wa kila wakati, siku zote. Happy Birthday ukhuty
Heri ya siku ya kuzaliwa ya mwanamke mzuri wa sura hadi roho yake, mwenye kuvutia. Wewe ni mzuri na mtamu zaidi kuliko chochote Upendo wangu kwako ni wa kila wakati, siku zote. Happy Birthday ukhuty
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,638 Jan 22, 2018 #2 Mueke na picha yake tumuimbie itapendeza zaidi
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,638 Jan 22, 2018 #3 HBD shemeji mungu azidi kukujaza hekma na busara. na maisha yako yazidi urefu wa mlima kilimanjaro ameen
HBD shemeji mungu azidi kukujaza hekma na busara. na maisha yako yazidi urefu wa mlima kilimanjaro ameen
Fundi mahiri wa ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 4,159 Reaction score 2,844 Jan 22, 2018 #4 Hbd
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 Jan 22, 2018 Thread starter #5 adden said: Mueke na picha yake tumuimbie itapendeza zaidi Click to expand... Sawa Adden, baadae tutaweka.
adden said: Mueke na picha yake tumuimbie itapendeza zaidi Click to expand... Sawa Adden, baadae tutaweka.
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jan 22, 2018 #6 Hivi vizungu vigumu sana, kuna mtu alikwishatakiwa happy birthday akajibu the same to you. Happy birthday Ukhuty
Hivi vizungu vigumu sana, kuna mtu alikwishatakiwa happy birthday akajibu the same to you. Happy birthday Ukhuty
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,370 Reaction score 29,968 Jan 22, 2018 #7 Happy Birthday to u ukhuty
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,638 Jan 22, 2018 #8 MIXOLOGIST said: Hivi vizungu vigumu sana, kuna mtu alikwishatakiwa happy birthday akajibu the same to you. Happy birthday Ukhuty Click to expand... Hiyo inaitwa mix ology
MIXOLOGIST said: Hivi vizungu vigumu sana, kuna mtu alikwishatakiwa happy birthday akajibu the same to you. Happy birthday Ukhuty Click to expand... Hiyo inaitwa mix ology
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,677 Reaction score 45,532 Jan 22, 2018 #9 Hbd to her,.
Yeth lottah JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 1,405 Reaction score 2,229 Jan 22, 2018 #10 Ukuthy age mate wangu
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Jan 22, 2018 #11 HBD...birthday sex ni muhimu sn
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 Jan 22, 2018 Thread starter #12 Nokia83 said: HBD...birthday sex ni muhimu sn Click to expand... Hahaha sex ni kazi na leo haitakiwi kuwa siku ya kazi. Huku Corporate ukiwa na Birthday unaruhusiwa kufanya kazi half day.
Nokia83 said: HBD...birthday sex ni muhimu sn Click to expand... Hahaha sex ni kazi na leo haitakiwi kuwa siku ya kazi. Huku Corporate ukiwa na Birthday unaruhusiwa kufanya kazi half day.
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 Jan 22, 2018 Thread starter #13 mumu said: Hbd to her,. Click to expand... Thanks mumu
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Jan 22, 2018 #14 Happy Birthday ukhuty. Mwenyezi Mungu ampe kila la kheri katika maisha yake ya kila siku.
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 Jan 22, 2018 Thread starter #15 emmyta said: Happy Birthday ukhuty. Mwenyezi Mungu ampe kila la kheri katika maisha yake ya kila siku. Click to expand... Aamin
emmyta said: Happy Birthday ukhuty. Mwenyezi Mungu ampe kila la kheri katika maisha yake ya kila siku. Click to expand... Aamin
Nguvu moja JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 3,371 Reaction score 2,713 Jan 22, 2018 #16 HBD mkuu.
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 Jan 22, 2018 Thread starter #17 MIXOLOGIST said: Hivi vizungu vigumu sana, kuna mtu alikwishatakiwa happy birthday akajibu the same to you. Happy birthday Ukhuty Click to expand... Nimeandika kwa Kiswahili mkuu.
MIXOLOGIST said: Hivi vizungu vigumu sana, kuna mtu alikwishatakiwa happy birthday akajibu the same to you. Happy birthday Ukhuty Click to expand... Nimeandika kwa Kiswahili mkuu.
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jan 22, 2018 #18 Rogie said: Nimeandika kwa Kiswahili mkuu. Click to expand... Ha ha ha, kweli mkuu uko penzini.
Aigoo JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 3,124 Reaction score 2,819 Jan 22, 2018 #19 Kwa sifa zote hzo warah unamfaham anyway happy birthday kwake
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 Jan 22, 2018 Thread starter #20 MIXOLOGIST said: Ha ha ha, kweli mkuu uko penzini. Click to expand... Hahahahaha