Happy Birthday Ukhuty

Mambo tu yalinibana dada. Tusameheane.


Ila namalizia shughuli za watu nikimaliza naja kuichukua keki yangu uliyoniwekea. [emoji12] [emoji12]
hahaha ukuje tu usimsahau shunie lkn
 
Sijakusahau mdogo wangu ila ndio huonekani mwenyewe hadi juzi kuna mtu akakuanzishia uzi.

Niambie mdogo wangu za mihangaiko?
Nzuri tu Dada masomo yananibana mpk nashindwa hata kuingia humu...huo Uzi mbn sijauona embu nitumie link[emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…