Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Karibunashukur mwaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibunashukur mwaya
Karibu tena dada wa Mie.shukran dada angu wa faida emmyta
asante mbon hujaja kula keki dadaKaribu tena dada wa Mie.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
asanteKaribu
Mambo tu yalinibana dada. Tusameheane.asante mbon hujaja kula keki dada
hahaha ukuje tu usimsahau shunie lknMambo tu yalinibana dada. Tusameheane.
Ila namalizia shughuli za watu nikimaliza naja kuichukua keki yangu uliyoniwekea. [emoji12] [emoji12]
Hahahaaa. Sawa dada ntakuja nae.hahaha ukuje tu usimsahau shunie lkn
Mmmh.. hongeraduu wew acha tu 38 sasa uzee huooo waja
mbon miguno tenaMmmh.. hongera
Welcome nimemjua themeji [emoji126]asante mpenz
Dada umenisahau Mdogo wakoKaribu tena dada wa Mie.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sijakusahau mdogo wangu ila ndio huonekani mwenyewe hadi juzi kuna mtu akakuanzishia uzi.Dada umenisahau Mdogo wako
hahaha rogie ukuje huku[emoji41] [emoji41]Welcome nimemjua themeji [emoji126]
Nzuri tu Dada masomo yananibana mpk nashindwa hata kuingia humu...huo Uzi mbn sijauona embu nitumie link[emoji144]Sijakusahau mdogo wangu ila ndio huonekani mwenyewe hadi juzi kuna mtu akakuanzishia uzi.
Niambie mdogo wangu za mihangaiko?
Pole mwaya mdogo wangu we endelea kupambana ufikie kile unachokihitaji.Nzuri tu Dada masomo yananibana mpk nashindwa hata kuingia humu...huo Uzi mbn sijauona embu nitumie link[emoji144]
Nimeuona now my dear sisterSijakusahau mdogo wangu ila ndio huonekani mwenyewe hadi juzi kuna mtu akakuanzishia uzi.
Niambie mdogo wangu za mihangaiko?
Ahsante dearPole mwaya mdogo wangu we endelea kupambana ufikie kile unachokihitaji.
Uzi wenyewe huu hapa I miss you jovitha my birthday mate wa jf: