Happy Birthday Ukhuty

Happy Birthday Ukhuty

Heri ya siku ya kuzaliwa ya mwanamke mzuri wa sura hadi roho yake, mwenye kuvutia na anayenitia mshawasha kila ninapomuona.

Baby, wewe ni mzuri na mtamu zaidi kuliko chochote nilichowahi kukipata kwa ladha, mimi kwako ni kama barafu siku ya jua kali.

Upendo wangu kwako ni wa kila wakati, siku zote.

Happy Birthday Love ukhuty


Avatar ako nimeipenda[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Heri ya siku ya kuzaliwa ya mwanamke mzuri wa sura hadi roho yake, mwenye kuvutia.

Wewe ni mzuri na mtamu zaidi kuliko chochote
Upendo wangu kwako ni wa kila wakati, siku zote.

Happy Birthday ukhuty
namshukur Mungu kwa siku hii adhwim niliyoiona dunia na nakushukuru my love ROGIE umeonyesha kunijali mpk kukumbuka siku ambayo kipenzi chako ndo nimeingia ulimwenguni rasmi nawashukuru nyote marafiki zangu mliyonitakia kher katk siku yangu hii muhimu nakupenda sana mwanaume wew mwenye roho nzuri mcheshi uliojaliwa tabasam katk uso wako love rogie
 
Happy birthday dada lake Mungu azidi kukupa maisha marefu [emoji8][emoji8][emoji8] cake wapi sasa
amin mpenz mdogo wangu wa faida rogie njoo umwalike mdogo atufate wapi leo kwa ajili ya kek
 
Back
Top Bottom