Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Ha ha ha Birthday tulia bwana ntamuita Rogie hapamna siri zenu kumbe eee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha Birthday tulia bwana ntamuita Rogie hapamna siri zenu kumbe eee
emmyta mwenyeji kabisa shikilia hapohapoEnhee huko huko sasa mie sipafahamu na wewe nasikia unapajua mpaka mlinz wa getin
Hahahaaaaa. Basi ngoja nimalizie mawili matatu halafu tuchape zetu lapa haina kupanda bajaj hiyo. [emoji12]Enhee huko huko sasa mie sipafahamu na wewe nasikia unapajua mpaka mlinz wa getin
Ha ha ha ha kwenda zako fanya uptshe cake yangu hapaAh. Wapi Bocco mbali bana mie nakaribia Mtaa wa kina Ndemla. Teh teh teh.
Njoo nitakusubiri au niishie hapa alipopewaga wekundu Kaseja Hahahaaaa.
mie nishamiandalia mjue mje kweliHa ha ha ha ha we subir Ugen mbona unaharbu sasa lakin
Kumbe Kuna mawili matatu tena haya BossHahahaaaaa. Basi ngoja nimalizie mawili matatu halafu tuchape zetu lapa haina kupanda bajaj hiyo. [emoji12]
Hahahaaaa. Utamuweza Bonny huwa anamuonea sana Emmy kisa kuna mtaa wa nne bila na mbili bia anaufahamu basi sinywi maji.mna siri zenu kumbe eee
Umeona enhee na siondok lazma nije nae ila kuondoka atatanguliaemmyta mwenyeji kabisa shikilia hapohapo
hahaha ngoj niondoke mieHa ha ha Birthday tulia bwana ntamuita Rogie hapa
Kuna neno umetamka hapo umenkumbusha mbalii sanaaamie nishamiandalia mjue mje kweli
Hahahaaa.Ha ha ha ha kwenda zako fanya uptshe cake yangu hapa
asante sanaHappy birthdy Uktlty
neno gani hiloKuna neno umetamka hapo umenkumbusha mbalii sanaaa
DAH NIPO KWA KANJBAI MPAKA NITOBOE HUKO IMEISHA MI YANGU ALHAMIS 25.1asante mpenz njoo keki ipo bado
utukaribishe basiDAH NIPO KWA KANJBAI MPAKA NITOBOE HUKO IMEISHA MI YANGU ALHAMIS 25.1
KUNDUCHI KULE NI SAMAKI HAKUNA CHA KEKI SAMAKI CHOMA KWA WINGI KARIBUNI NYOTEutukaribishe basi
wala usijali mualiko wako tu emmyta pita hapaKUNDUCHI KULE NI SAMAKI HAKUNA CHA KEKI SAMAKI CHOMA KWA WINGI KARIBUNI NYOTE
Ha ha ha ha si nilisema ukisika Rogie tu kamoyo Paahhahaha ngoj niondoke mie