Hivi bado zipo au zimerudi show room?last time alipata zawadi za Murano na range lover, safari hii vipeee!
Hivi bado zipo au zimerudi show room?
Anachofanya huyu mama ni sahihi yeye ndo anajua wametoka wapi na mwanae angekuwa sio star zari angempata diamond so ana haki ya anachofanya wamepitia shida nyngi na mwanaeinaonekana wazi ikitokea leo jamaa ameaga dunia watoto wake watakua kwenye hali mbaya kama hajastuka mapema na jugawanya mali, asee wanaume tuangalie sana tunapoenda kuoa, na nyie wanawake angalieni mnapoenda kuolewa, ni muhim kulio pesa mnazokimbilia kwa mwanaume!!
Hamna Kizazi pale MkuuDinazarde mshauri shogaako apigwe kimoja cha moto ili apate hata mtoto. Akifikisha 30 ndo kwaheri.