Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
leo ni siku ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa aliekua miss Tanzania Wema sepetu,sijui anafikisha 27 au 28 maana kasema mwaka 2018 anafikisha 30 sasa naona hapa kati kama pameganda hivi
Mama Diamond kamuwishi wema halaf zari hakumuwish aliemzalia mjukuu lo huyu mama busara zake zipo chini kidogo
Halaf kingine Wema nimemuona kama hayupo sawa hiviiii maana kuna tetesiii yale mambo ya unga yameanza kumpa madhara ,watu wa karibu yake anzeni kumsaidia kabla hajawa kama rayc (naota tu mimi)
Happy birthday Wema sepetu toto lenye lips mashaallah