kwahiyo huyo Zee kuzaa Tiffa na kumbemenda na mumewe, mnaona big deal??!!!!!!!
mwanammke yoyote yule ni Tabia/upendo
Wema kama wema ana mapungufu mengi sana kama mtu yeyote yule, hasa kwa sababu ni Top Star..
Lakini wema kama jina lake ni mdada mmoja hivi ambae ana upendo wa hali ya juu, hana majivuno, hajikwezi
sasa kama mama Chibu, sometimes huwa anamkumbuka
pamoja alikua na mapungufu yake..
lakini ana mazuri na tabia zake nzuri anazo,hasa upendo..
Halafu hatuwezi kubisha kuwa katika wanawake ambao walimpenda diamond kwa moyo wote, kwa hali na mali ni Wema Sepetu..
alijitolea sana..
mtu ambae kawahi kupenda ,anajua jinsi gani wema alimpenda Chibu
familia ya Chibu ndo ime realize sasa hivi, kwa 7bu wema ameshaachana na chibu
hapo ndipo wanapoona gape..
HAPPY BIRTHDAY TZ SWEETHEART...
Wema Isack Sepetu[emoji7][emoji512][emoji320][emoji322]