Happy birthday Wema Sepetu

Happy birthday Wema Sepetu

Wema kajua kutetemesha ig leo, happy birthday to her
 
kwahiyo huyo Zee kuzaa Tiffa na kumbemenda na mumewe, mnaona big deal??!!!!!!!
mwanammke yoyote yule ni Tabia/upendo
Wema kama wema ana mapungufu mengi sana kama mtu yeyote yule, hasa kwa sababu ni Top Star..
Lakini wema kama jina lake ni mdada mmoja hivi ambae ana upendo wa hali ya juu, hana majivuno, hajikwezi

sasa kama mama Chibu, sometimes huwa anamkumbuka
pamoja alikua na mapungufu yake..
lakini ana mazuri na tabia zake nzuri anazo,hasa upendo..
Halafu hatuwezi kubisha kuwa katika wanawake ambao walimpenda diamond kwa moyo wote, kwa hali na mali ni Wema Sepetu..
alijitolea sana..
mtu ambae kawahi kupenda ,anajua jinsi gani wema alimpenda Chibu
familia ya Chibu ndo ime realize sasa hivi, kwa 7bu wema ameshaachana na chibu
hapo ndipo wanapoona gape..

HAPPY BIRTHDAY TZ SWEETHEART...
Wema Isack Sepetu[emoji7][emoji512][emoji320][emoji322]
 
Screenshot_2016-09-28-12-07-14.png
kweli wanakukumbuka wema
 
Teh teh...Anampenda Chibu na kugongwa alikuwa anagongwa na ma pedeshee.Kuna interview dimondi analalama bidada kuchukua chumba cha hotel peke yake wakati wameenda wote.Wema hafai.
 
Leo hii Ibo na Aunt wanaweza kuogopa kumwish Kwajili ya matusi ya team zee na pia juzi aunt alitukanwa sana kwenda zenj. Ndomana wema amekana teams kwasababu wanapotosha sana. Alafu mi tangu zamani huyu ma Dai simwelewi lakini sjawahi kumtukana. .ifike mahali Dai nawewe uwakane au kuvunja team yako. Maana mamaako anazalilishwa sana
Huyo demu kwenye picha ni nani?
 
kwahiyo huyo Zee kuzaa Tiffa na kumbemenda na mumewe, mnaona big deal??!!!!!!!
mwanammke yoyote yule ni Tabia/upendo
Wema kama wema ana mapungufu mengi sana kama mtu yeyote yule, hasa kwa sababu ni Top Star..
Lakini wema kama jina lake ni mdada mmoja hivi ambae ana upendo wa hali ya juu, hana majivuno, hajikwezi

sasa kama mama Chibu, sometimes huwa anamkumbuka
pamoja alikua na mapungufu yake..
lakini ana mazuri na tabia zake nzuri anazo,hasa upendo..
Halafu hatuwezi kubisha kuwa katika wanawake ambao walimpenda diamond kwa moyo wote, kwa hali na mali ni Wema Sepetu..
alijitolea sana..
mtu ambae kawahi kupenda ,anajua jinsi gani wema alimpenda Chibu
familia ya Chibu ndo ime realize sasa hivi, kwa 7bu wema ameshaachana na chibu
hapo ndipo wanapoona gape..

HAPPY BIRTHDAY TZ SWEETHEART...
Wema Isack Sepetu[emoji7][emoji512][emoji320][emoji322]
Ofcoz wema alimpenda sana chibu ila team wema mkamdanganya na kampeni ya bring back our wema nayeye akauvaa mkenge akamwaga chibu na murano akachukua.
Sasa hivi mnafanya movement kubwa warudiane hapo ndipo mnapokosea.
Happy bday madam
 
Anachofanya huyu mama ni sahihi yeye ndo anajua wametoka wapi na mwanae angekuwa sio star zari angempata diamond so ana haki ya anachofanya wamepitia shida nyngi na mwanae
T.i.d, mr blue, chaz baba hawakupitia shida nae?
 
Back
Top Bottom