Happy birthday Wema Sepetu

Happy birthday Wema Sepetu

Anachofanya huyu mama ni sahihi yeye ndo anajua wametoka wapi na mwanae angekuwa sio star zari angempata diamond so ana haki ya anachofanya wamepitia shida nyngi na mwanae

Kwendraaa, kati ya watu wote wewe wala sio wa kucomment kwenye issue ya maisha kifamilia ya Diamond.
 
Anachofanya huyu mama ni sahihi yeye ndo anajua wametoka wapi na mwanae angekuwa sio star zari angempata diamond so ana haki ya anachofanya wamepitia shida nyngi na mwanae
Ina mana huyo wema alimpata dai akiwa choka mbaya????wema alimkuta dai tayar kashatoka japokuwa sio kama sasa.
 
Party imefanywa jana na Team yake [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Huyu bibi nahisi ajielewi,juzi kati hapa alisema hataki team wema sijui inamuharibia sasa ilikuaje jana akaenda kwenye hiyo party??
 
Hivi miaka ya Wema huwa inasimama kumbe maana kila mwaka anamiaka 27 wakati kipindi anakua Miss Tanzania mi nilikuwa Shule.
 
Hiviiii mbona mmemganda chibu jamani...mbona wema alitoka na kina blue ...t.I.d..jumbe etc...why chibu?? Na je chibu angefulia mngeendeleza kujipendekeza...???..
 
umeona eee... umasikini na roho mbaya vikichanganyika ni bonge la bomu.. hlf hata huyo Diamond akija kuwa na mwanamke mwingine nao wtatasema heri ya Zari kuliko huyo
Halafu inawezekana mazaa anaumia kuona Zarina anapendwa sana na diamond.....wanawake ndo tulivyo tukiona mtoto wetu anampenda sana mke wake kawivu kanatuingiaa tunaanza kuhisi vizuri vyote vtapelekwa kule....
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom