Bintiwamoyo
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 610
- 827
Anachofanya huyu mama ni sahihi yeye ndo anajua wametoka wapi na mwanae angekuwa sio star zari angempata diamond so ana haki ya anachofanya wamepitia shida nyngi na mwanae
Kwendraaa, kati ya watu wote wewe wala sio wa kucomment kwenye issue ya maisha kifamilia ya Diamond.