Ha ha ha...zitakuwa zimeenda wapi?Hata show room hazipo
Ha ha ha...zitakuwa zimeenda wapi?
Ha ha ha..this time sijui wadau wanatoa ninh?Range kodi ilimshinda naona...ikapigwa mnada..murano aliuza
Ha ha ha..this time sijui wadau wanatoa ninh?
Akazindua na lipstick yake uhuhhuu....range lover akajinunulia lkn akashindwa ilipia..draaama queenlast time alipata zawadi za Murano na range lover, safari hii vipeee!
Hata zari ali muwish mama chibuMi sioni tatizo, Wema alimu wish mama domo siku ya bdy yake, na leo huyu mama kamu wish yeye, sasa tatizo liko wap?
Keki bila gari atatoa machozi..wafanye mpango wa helkopta ata kama ile ya gwajimaKeki
Huyu mama ni mchawi ..hiyoFamilia zetu za kiswahili ni shida sana
Sidhan km huyu mama anajua km anajiweka mbali taratibu na wajukuu zake hao kwa zari
Mwe! Avatar yako mmmmhhhh!Dinazarde mshauri shogaako apigwe kimoja cha moto ili apate hata mtoto. Akifikisha 30 ndo kwaheri.
Mkuu kimeenda wapi?Hamna Kizazi pale Mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Keki bila gari atatoa machozi..wafanye mpango wa helkopta ata kama ile ya gwajima
Familia zetu za kiswahili ni shida sana
Sidhan km huyu mama anajua km anajiweka mbali taratibu na wajukuu zake hao kwa zari
Imefanyaje Mkuu hiyo Avatar?Mwe! Avatar yako mmmmhhhh!
nimeipendaImefanyaje Mkuu hiyo Avatar?
Ichukue! Ruksanimeipenda