Happy birthday Wema Sepetu

Happy birthday Wema Sepetu

Leo hii Ibo na Aunt wanaweza kuogopa kumwish Kwajili ya matusi ya team zee na pia juzi aunt alitukanwa sana kwenda zenj. Ndomana wema amekana teams kwasababu wanapotosha sana. Alafu mi tangu zamani huyu ma Dai simwelewi lakini sjawahi kumtukana. .ifike mahali Dai nawewe uwakane au kuvunja team yako. Maana mamaako anazalilishwa sana
 

Attachments

  • 1475045552499.jpg
    1475045552499.jpg
    60.6 KB · Views: 43
  • 1475046291963.jpg
    1475046291963.jpg
    66.1 KB · Views: 39
last time alipata zawadi za Murano na range lover, safari hii vipeee!
Akazindua na lipstick yake uhuhhuu....range lover akajinunulia lkn akashindwa ilipia..draaama queen
 
Na Esma nae kamuwish.....hii familia sijui mwisho wao itakuaje
 
Back
Top Bottom