[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu we ndio mc wa hii sherehe?Asante...aminia Mzigua itakua ni bak bandua, kata mti panda..........
hahahah ngoja nikusemeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Tashrifu ujue, lapitiliza hadi Duga Maforoni hilo
Bora umekuja unichagulie..au uwe wewe?Mpokeaji zawadi nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe njoo tu jiran yote tanga hiyo usije nusu nusuMmmmh nijue hawa wanakati tanga sehemu gan maana wanaweza wakawa wa tanga sehemu inaitwa kabuku
Ila usile sana mizawadi hiyo ya mchana si unajua twaanzia kwa Babu Juma mpaka tunamalizia kwa Makame kwenye juice ya miwaNaomba unipitie Mapemaaa..wajua Leo weekend eeh..
Bethidei gelo nataka kulakula kama mchwa
Nataka kujua mapema jirani hawa watu wa tanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe njoo tu jiran yote tanga hiyo usije nusu nusu
ukiindoka huko aga jirani karibu tangaNataka kujua mapema jirani hawa watu wa tanga
Mmmmh
Hayo ndio maneno ya maana ukhuty, kamati iundwe fasta[emoji23][emoji23][emoji23]sesten ukuje huku sasa tufanyeni hivi December wote tanga na sie sesten ukiwemo
Hapana natafata pakuweka yanguBora umekuja unichagulie..au uwe wewe?
litafanyiwa kazi kwa kweliHayo ndio maneno ya maana ukhuty, kamati iundwe fasta
Mi nimefika tanga ila sikuona chaajabu zaidi ya kuona watu na tabia zao ambazo sitakiwi kusema hapaukiindoka huko aga jirani karibu tanga
Mmmmhh menuna hapa..Leo siku yangu sipesheli natakiwa nikule kila kituIla usile sana mizawadi hiyo ya mchana si unajua twaanzia kwa Babu Juma mpaka tunamalizia kwa Makame kwenye juice ya miwa
Oooh hakuna mpokeaji weka tu hapo mezaniHapana natafata pakuweka yangu
Hapo kama Ufaransa ya kina Mbape, dadadadekiiiiiπππ, timu la ushindi hilo
mmmh tabia gani hizo jirani fungua wakusikie wapo humuMi nimefika tanga ila sikuona chaajabu zaidi ya kuona watu na tabia zao ambazo sitakiwi kusema hapa
Ahsanteee...me nikupe zawadi weye?hongera aisee, tupe zawadi basi ya birthday
MwehUtam wish vipi. Hujui ata umri wake.... Hata akisema atadanganya tu..