Happy birthday YNA4

Happy birthday YNA4

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Tumushukuru mungu kwa kutoka kibali wewe uzaliwe

Pili tumshukuru mama kwa kwa kutimiza wajibu wa kulea mimba yako mpaka miezi Tisa ilipo timu

Tatu tuwashukuru wazazi walio jitoa kwaajili ya kuhakikisha wewe unakuwa na furaha maisha yako yote

NNE ni kukumbushe tu kuwa katika vyote IBADA ndio mwanga wa kujua unako paswa kuelekea

TANO wajali sana wazazi na ndugu zako

Mwisho nikutakie niseme tu mungu akujalie miaka mingi zaidi ila ushuhudie mengi na usimlie na wengine wajifunze

HBD
 
Back
Top Bottom