Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahaha shem si ujibu tu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha Shem nini lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha shem si ujibu tu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha Shem nini lakini
Kimya kimya wenyewe! Saweni banauwiiii haya fanya kujiandaa basi dakika tano nipo hapo
Naanzaje kukuacha ulie mdogo angu kipenziDada uje kabla sjaondoka jaman uwiiii nitalia
Ila usisahau kumpelekea kipande cha keki atatuliaHhuuuh! Hapo sawa maana nilianza kupata kauoga
hhaahahha haya jiandae na wewe basi mbon mtanipa kazi kupitia mmojammojaKimya kimya wenyewe! Saweni bana
Kawaida yao Makorora kudekahhaahahha haya jiandae na wewe basi mbon mtanipa kazi kupitia mmojammoja
hhaaha makorora wadeka waache wadeke ndo asili yao umenikumbusha mbali wew mtuKawaida yao Makorora kudeka
Amen nawe ubarikiweNeno zuri sana lenye uzima ndani yake
Ahsante sana mkuu..Mungu akubariki sana
Hahaha..kipande cha keki utambebea wewe..namuogopa bibiIla usisahau kumpelekea kipande cha keki atatulia
Nipo hapa mzima jirani yangujirani nakuona
Nimekurudisha nyuma hadi wapi kwa mfano?😀hhaaha makorora wadeka waache wadeke ndo asili yao umenikumbusha mbali wew mtu
Thank youHappy birthday to youuu!!
Ndugu zetu mkala ubuyu kimya kimya eeehnami nilipita nikapitisha gumba za kutosha ila sikuambua kitu
cc mzigua 90 shunie
Na ulivyopendeza leo wasiwasi wangu bibi ungempa pressureHahaha..kipande cha keki utambebea wewe..namuogopa bibi
yaani wew sio lazima ni muhimu sana ila mwenyekiti simuoni hapaNipo hapa mzima jirani yangu
Vipi kuna nafasi ya sisi wageni watarajiwa kwenye hii sherehe