Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
We nenda jikoni mm nitabaki kwenye vinywaji
Huko pia kunanifaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko pia kunanifaa
bora hat section hii maan hataweza kudokoaWewe ukae kugawa chakula[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
huku asilimia mia lkn vinywaj hapanaHuko pia kunanifaa
Sawa mi nitakuwa mgeni mtarajiwa nawasikiliza wenyeji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa jirani anakuja huko maana naona vinjwaji vinaweza visitoshe kumbe wamemaliza wao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuhHapana jamani mm vinywaji nina mimba nikiona mavyakula nitatapika
[emoji23][emoji23][emoji23]We nenda jikoni mm nitabaki kwenye vinywaji
Fanya hima ukhutyngoja nimwendee hewani sasa hivi looh sitaki kupitwa na vitu vya msingi mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaaa. Wageni waalikwa mtaishia maji na juice
hapa umefika halafu kamat yote tanga utakirimiwa vya kutoshaSawa mi nitakuwa mgeni mtarajiwa nawasikiliza wenyeji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]bora hat section hii maan hataweza kudokoa
Kuna Tashrifu ujue, lapitiliza hadi Duga Maforoni hiloumemuonaeee ajificha bure tu raha leo moja tu
ndo napashwa hapaFanya hima ukhuty
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana jamani mm vinywaji nina mimba nikiona mavyakula nitatapika
vitakwisha wallahHahaha kwa nn sasa
Mmmmh nijue hawa wanakati tanga sehemu gan maana wanaweza wakawa wa tanga sehemu inaitwa kabukuhapa umefika halafu kamat yote tanga utakirimiwa vya kutosha
umeonaee na ndo maan napingaHahahahaaa. Wageni waalikwa mtaishia maji na juice
Asante...aminia Mzigua itakua ni bak bandua, kata mti panda..........Kitengo cha vinywaji nitasimamia hapo kaka