Happy Birthday Zari The Boss Lady aka Mama Tiffa!

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Leo kazaliwa mama la mama aka bosslady ukipenda muite mama teeh!!, namtakia heri ya kuzaliwa mwanamke anayejielewa ,mwanamke mtafutaji,sema nene ujue boss wangu?? Hiyo zawadi ya nyumba umeuwaaa unaambiwa mtaa wa pili wanapumulia mashine sasa hivi, salome kakimbilia mbagala[emoji23][emoji23][emoji23],madale kumenukaa,khaa kweli zari kiboko ya diamond,wenzie wanahongwa magari fekero wewe unahongwa nyumba tena sio Tz,daaaah!!!! Huyo mganga wako usimuache mama teeeh, sema neneee? Next time mwambie kaka mkubwa tunataka mjengo USA [emoji23][emoji23][emoji23]hili mtoto wetu wa kiume nae apate si unajua ni vizuri watoto wakagawana mapema wasije kugombana baadae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
watU wamelalA kwA sasA bt mpakA asubuhI comment zitakuwA nyingi sanA
 
Halafu ile ya huddah kumbe ilikua Kik tu ya show ya ndomo mombassa,
 
Msingi kizazi hiyo na sio kiuno, shikamoo zari huko ndiyo kunaitwa kutumia kizazi vizuri. Na ukijifungua wa pili muambie akununulie nyumba USA uzidi kuwanyoosha haters
 
Msingi kizazi hiyo na sio kiuno, shikamoo zari huko ndiyo kunaitwa kutumia kizazi vizuri. Na ukijifungua wa pili muambie akununulie nyumba USA uzidi kuwanyoosha haters
Angekuwa mgumba sijui ingekuwaje Hehe binadamu buana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…