warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Leo kazaliwa mama la mama aka bosslady ukipenda muite mama teeh!!, namtakia heri ya kuzaliwa mwanamke anayejielewa ,mwanamke mtafutaji,sema nene ujue boss wangu?? Hiyo zawadi ya nyumba umeuwaaa unaambiwa mtaa wa pili wanapumulia mashine sasa hivi, salome kakimbilia mbagala[emoji23][emoji23][emoji23],madale kumenukaa,khaa kweli zari kiboko ya diamond,wenzie wanahongwa magari fekero wewe unahongwa nyumba tena sio Tz,daaaah!!!! Huyo mganga wako usimuache mama teeeh, sema neneee? Next time mwambie kaka mkubwa tunataka mjengo USA [emoji23][emoji23][emoji23]hili mtoto wetu wa kiume nae apate si unajua ni vizuri watoto wakagawana mapema wasije kugombana baadae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]