Happy Birthday Zari The Boss Lady aka Mama Tiffa!

Hivi amefikisha miaka mingapi huyo bibie?
 
Hivi waliotuletea mafundisho ya dini Yesu (Issa Bin Mariam) na Mtume Muhammad (S.A.W) na Adam na Hawa ni nani wa kwanza kuwepo?
Acha kuleta mambo ya kale ambapo hakukuwa na dini.
Sasa tunaishi ktk ulimwengu wa dini na mafundisho yake.
Mtoto unatoa poz hatareeee,haya mke halali ni wew [emoji23] [emoji23]
 
du kweli mchizi kanasa demu atakuwa na shoo za kibabe
 
Kuungana kwa kuishi kihuni?Au kuungana kwa kuzaa?
Ndoa na iheshimiwe,sio jambo la mchezomchezo.
Wake za watu halali ni akina Shamsa Ford bwana [emoji108].
Nifah wewe umeolewa? Au unamzidi nini Zari? Au unamzidi nini Ndomo?
 
Reactions: ovi
Wema na hamisa wanabugia misumu Leo...daadeki[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji31]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…