Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
kweli ipo kwenye gazeti la daily news la leo,,,,,,,,,,, tafutaHeheheeee [emoji23][emoji23][emoji23]
'Married'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli ipo kwenye gazeti la daily news la leo,,,,,,,,,,, tafutaHeheheeee [emoji23][emoji23][emoji23]
'Married'
Sijakataa mpenzi,nimecheka tu.kweli ipo kwenye gazeti la daily news la leo,,,,,,,,,,, tafuta
Mtoto unatoa poz hatareeee,haya mke halali ni wew [emoji23] [emoji23]Hivi waliotuletea mafundisho ya dini Yesu (Issa Bin Mariam) na Mtume Muhammad (S.A.W) na Adam na Hawa ni nani wa kwanza kuwepo?
Acha kuleta mambo ya kale ambapo hakukuwa na dini.
Sasa tunaishi ktk ulimwengu wa dini na mafundisho yake.
amezaliwa mwaka 1980Hivi amefikisha miaka mingapi huyo bibie?
Nifah wewe umeolewa? Au unamzidi nini Zari? Au unamzidi nini Ndomo?Kuungana kwa kuishi kihuni?Au kuungana kwa kuzaa?
Ndoa na iheshimiwe,sio jambo la mchezomchezo.
Wake za watu halali ni akina Shamsa Ford bwana [emoji108].
makubwaNifah wewe umeolewa? Au unamzidi nini Zari? Au unamzidi nini Ndomo?
Sio mtu wa mchezo mchezo daily news kukuandika sio kodogoZari ni nyoko ona hapa daily newzView attachment 405364
Kwani mimi ni celebrity hadi unifananishe na Zari au Ndomo?Nifah wewe umeolewa? Au unamzidi nini Zari? Au unamzidi nini Ndomo?
hahaha ndomo aliokota almasi chini ya mpapai...... ila poa tu wacha afurahiSio mtu wa mchezo mchezo daily news kukuandika sio kodogo
AjeI am gonna marry you one day.......
Weeeee yaone tu wengine humu bendera fata upepo hata mia hawana kazi kutukana tu ndoa ndoa kama shkh kipozeo alishawafungisha wanataka nini tenamakubwa
Kumbe bado mbichi!amezaliwa mwaka 1980
Naona umejitoa team mama ubayaWema na hamisa wanabugia misumu Leo...daadeki[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji31]