Happy Birthday Zari The Boss Lady aka Mama Tiffa!

Nadhani hawajui tofauti ya ndoa na harusi he he
 
Kafikisha miaka mingapi? Tutarajie kuona YouTube,iyo sherehe ya 'Birthday' anatuzwa dollali,alafu sherehe ikiisha Simba anachukua noti zake.
 
Kuungana kwa kuishi kihuni?Au kuungana kwa kuzaa?
Ndoa na iheshimiwe,sio jambo la mchezomchezo.
Wake za watu halali ni akina Shamsa Ford bwana [emoji108].
Ukiishi na mtu miezi sita tayari ni ndoa...hahahaha unataka hadi shelaaaa....
 
Reactions: ovi
Katika vitu mondi uli win ni kua na huyu mganda tulizoea kukuona ukichezea vibint kamavile unasumbuliwa na balehe baada ya kunasa hapa kwa huyu mganda tu akili ikakua skendo zikapungua ghafla ukaitwa baba jamani unazidi kupaa tu kimataifa uyu mama ana nyota aisee zari ukimuacha diamond njoo basi kwangu naeza kua nimekalia mali sijui kuzi endeleza mi nitakununulia private jet [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu huyu Mwanamke ni mzuri eti.

Yaani sura, rangi, umbo hadi Roho.

Daah...kuna watu wana bahati aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…