Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atawaita wapiga picha wamfotoe akiwa kwenye pozi la kuzidiwa`safiii wacha dai avute raha from mbagala to sa woyeeeee ....... yule mdingi akisikia ataanzisha magonjwa mapya tehetehe
KWA RAHA ZAKE...... MANE TOKSSSSSSSSSAtawaita wapiga picha wamfotoe akiwa kwenye pozi la kuzidiwa
Nadhani hawajui tofauti ya ndoa na harusi he he[emoji23] na mtatokwa na povu mwaka huu,..kwani ndoa ni nini?ndoa ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mke na mume katika maisha yao yote..........(sheria ya ndoa 1971 kifungu cha 9).
[emoji23] na mtatokwa na povu mwaka huu,..kwani ndoa ni nini?
Mkuu umeuwa ha ha ha atamzidi Sinyorita wangu?Zari ni mzuri dunia nzima.
Aku mi sina team yakhe!Naona umejitoa team mama ubaya
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nadhani hawajui tofauti ya ndoa na harusi he he
MTU NA PESA ZAKEEEE.. ANAWEZA AKAhamisha mito milima na mabonde in banza stone voiceShikamooo pesa!!!!!!!
Kweli mwenye nacho anaongezewa, sie kina kajamba nani hata kidogo tulichonacho tunanyang'anywaKWA RAHA ZAKE...... MANE TOKSSSSSSSSS
bidii na maarifa wanguKweli mwenye nacho anaongezewa, sie kina kajamba nani hata kidogo tulichonacho tunanyang'anywa
Ukiishi na mtu miezi sita tayari ni ndoa...hahahaha unataka hadi shelaaaa....Kuungana kwa kuishi kihuni?Au kuungana kwa kuzaa?
Ndoa na iheshimiwe,sio jambo la mchezomchezo.
Wake za watu halali ni akina Shamsa Ford bwana [emoji108].
Basi watu wasingeenda misikitini/makanisani.Ukiishi na mtu miezi sita tayari ni ndoa...hahahaha unataka hadi shelaaaa....
Kwelibidii na maarifa wangu
Akili pia Kuna yule bogus wetu [emoji15] [emoji15] [emoji15] utamu wa taifaWakuu huyu Mwanamke ni mzuri eti.
Yaani sura, rangi, umbo hadi Roho.
Daah...kuna watu wana bahati aisee