Na wengine kwao wamezaliwa 12 ....mama zao sijui tuwaitaje...kuzaa sifa bana..watu mpk wanaloga ili wazaeManeno mengine kwangu sidhani ni sahihi "award ya kuzaa" tupunguze ukali wa maneno na tuwe na akiba ya maneno
Ni kweli watoto watakuwa watano ana uwezo nao na anajua alifanyalo amesema hawezi zalia chooni
Ni maamuzi yake .wanawake tuwekeane staha
Hata mimi natamani ningewazaa wengi tu hata 6 kama uwezo wakuwatunza ningekua nao,aah ningezaa aisee.Na wengine kwao wamezaliwa 12 ....mama zao sijui tuwaitaje...kuzaa sifa bana..watu mpk wanaloga ili wazae
Watoto raha bwaanaa....masista duu wanaopenda bata ndio wanaona tabu but in a real sense ni faraja....hasa wakikua vzr wakaizunguka meza ....wazazi wa sasa mda kulea hatuna full kujiendekeza na mambovya dunia sasa utataman mtoto saa ngp ili akupotezee muda??mi nitazaa aisee wengi iwezekanavyoHata mimi natamani ningewazaa wengi tu hata 6 kama uwezo wakuwatunza ningekua nao,aah ningezaa aisee.
Jirani na wewe kitumie vizuri.Chezea LABOUR WARDS AMBASSADOR wewe?
Anajua kutumia kizazi chake vizuri.
Ni mwendo wa kula kupitia kizazi [emoji13][emoji13][emoji13].
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenziyeManeno mengine kwangu sidhani ni sahihi "award ya kuzaa" tupunguze ukali wa maneno na tuwe na akiba ya maneno
Ni kweli watoto watakuwa watano ana uwezo nao na anajua alifanyalo amesema hawezi zalia chooni
Ni maamuzi yake .wanawake tuwekeane staha
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenziye
mwl nimekumiss... nilikutafuta siku ya UKUTA ukawa upokei simu.Nadhani hawajui tofauti ya ndoa na harusi he he
Nlikua na wanajeshi tunafanya usafi 😀mwl nimekumiss... nilikutafuta siku ya UKUTA ukawa upokei simu.
NimefurahiBinamu umeona Salome wa ukweli alivyopewa mjengo,,,,,