[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Haya Nimekusameehe nitafanyaje sasa ila unahatarisha ushemeji.
Eti huo ni uzee au ujana unakusumbua [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kaka shemeji uzee haukwepeki, ukija unakuja tu.Aiseee. Dada shemej usizeeke
Eeeh Shunie bonny hajawahi kukuambiaDaby kumbe we n mzee wa kanisa
mm nilishindwa jana nimeona upo kwenye uzi wako tu hautoki
hajawahi niambie aisee kwahyo kila j2 ukihesabu lazima uzichote na za kwakoEeeh Shunie bonny hajawahi kukuambia
Naogopaga dhambi mwenzako au unataka kunirubuni kama eva!hajawahi niambie aisee kwahyo kila j2 ukihesabu lazima uzichote na za kwako
eeh nataka kukurubuni kidogo tu ukiiba unafanya toba Mungu anakusamehe wala haina shidaNaogopaga dhambi mwenzako au unataka kunirubuni kama eva!
Teh..hahaha chizi weweeeh nataka kukurubuni kidogo tu ukiiba unafanya toba Mungu anakusamehe wala haina shida
kubali bas Daby kiduchu tu tukakae viti virefu tujinywee heinken na mishkakiTeh..hahaha chizi wewe
Sitaki mie nikutwe na husna....kubali bas Daby kiduchu tu tukakae viti virefu tujinywee heinken na mishkaki
hahaha nimecheka kwa sauti ww huyo imetoka moyoni kabisaSitaki mie nikutwe na husna....
Hahaha...nakuambia wanatutabiriaga vizuri...hahaha nimecheka kwa sauti ww huyo imetoka moyoni kabisa
halaf husna nimemkuta uko anamwambia HR kumbe ww ndio shemeji yangu nilikua sijui HR aliniquote ujinga wake
sijakuelewa hapo wanatutabiriaga vizuri kina nan na nn wanatabiriHahaha...nakuambia wanatutabiriaga vizuri...
Haha utamweza.
Umeelewa labda kama unataka ufafanuzi usikie utamu nambie tuusijakuelewa hapo wanatutabiriaga vizuri kina nan na nn wanatabiri
kweli sijaelewa eb nifafanulie mana ata wanaotabili sijaona kituUmeelewa labda kama unataka ufafanuzi usikie utamu nambie tuu
Maelezo mengine yananoga kwa waziri mkuu bhnkweli sijaelewa eb nifafanulie mana ata wanaotabili sijaona kitu
hapa ndio ninapoamini uchizi anaongea saint ivuga kila mwezi ww birthday na mchuchu mpyaMaelezo mengine yananoga kwa waziri mkuu bhn
Mmh.. kwani pm tunaongea ya uchuchu jamani. Labda kama unanitaka wwehapa ndio ninapoamini uchizi anaongea saint ivuga kila mwezi ww birthday na mchuchu mpya
Shindwa na ulegee kabisa Legea kotekote mpaka sehemu zako za siriMke wa nani?
Sijasema namtaka kimapenzi. Nataka tu awe mshkaji wangu awe ananitembelea tuwe tunapiga misele na open roof.. Si unajua ninavyopenda vitom boy