Happy birthday

Happy birthday

Baelezeeee Baelezeeee

Asante sana Daby kwa kulitambua hili

Jumapili ni siku ya kushinda na mume tu
Make from Mon-fri Kila mmoja bize na kazi tukirud tumechoka story mbiltatu hao tumesinzia
Sasa jumapili sasa khakhaakhaa
Woyooooooooooooooooooooo
Woyooooo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mahondaw huyo mwambie tu chochote... Ulishaniambia kuwa siendani na huyo tom boy.. Nikakuuliza kwa nn unamuita mahondaw tom boy? Ukakosa jibu.


Mtakatifu mtakatifu...

Ila ndugu kweli maneno mazuri wamebaki nayo wanawake karibia 200 uliopita nao. Leo Unakosa swagga za kumn'goa mtoto mpaka unanisaksia
 
Back
Top Bottom