Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby au mabebi..KIKOJOLEO changu bado kipo strong..baby anakitumia
Chuga bange nyingi sanaUsimfanye MaHo hajui kichuganian
Mmh, hapana bhna. Tuliza mpira.Chuga bange nyingi sana
Kuvaa madera sio tusi..mahondaw shahidi ona hapa kawatukana tena hawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuvaa madera sio tusi..
Leo niliwaona na madera yao wanaenda magomeni kwenyw harusi ya mkeka wapi kwenye coastal na matarumbeta.. Basi mauno kwa sana .. Hina hadi kwenye kope..
Hapo nimechukua friends, hugs , hapines and date.. Na vyote na dedicate kwako.
Mahondaw mimi nimekuwa mkweli kwa hio mm ni rafiki wa kweli.Siwaongeleshi tena nyie sio marafiki wazuri kabisa
Nyie chagueni zote zitakazo baki zangu...Na mwenzio kachukua zipi??
Make waarabu wa pemba nyie
Snitch failures disappointmentsNa mwenzio kachukua zipi??
Make waarabu wa pemba nyie
Mbaya zote ndio zimabaki haya zichukueNyie chagueni zote zitakazo baki zangu...
Hahah kwa nini unasema mahondaw sio mzima wakati huyu mtoto mzuri mi namuona ni mzima kabisa na anajua kuwa namzimikia hadi kiamaMmh. Wewe sio mzima na ivuga wako.
Ha ha haNa nikivutaa wayaaaa, Ujue nilisha jikokiii
Kwa nn umeudhika kipenz.. Maneno yote yametoka kwa DabyNdumila kuwili wewe
Nimeudhika
Unakumbuka asubuhi uliandika kuwa akipiga cha arusha anaandika madudu.. Labda ndio hayo?Ana ni qoute madudu gani.
Eti chororororororororororororotrorororo. Kapewa break.
Sijaona mahusiano na comments zangu za nyuma
Ana ni qoute madudu gani.
Eti chororororororororororororotrorororo. Kapewa break.
Sijaona mahusiano na comments zangu za nyuma
SnitchesUnakumbuka asubuhi uliandika kuwa akipiga cha arusha anaandika madudu.. Labda ndio hayo?
Daby ndugu yangu mtoto mZuri huyo usimkazie..Usisababishe nikuniaje aseeeh.
Kuna uhusiano gani wa comment zangu na huu ulichonitag hapa.
We only joke. Ingekuwa hasira ningekuwa wa kwanza kumtukana Ivuga.