Happy birthday

Happy Birthday Daby .. Mungu akuzidishie miaka mingi sana tuone ukitoboa Majuu na usahau mauchungu ya Bongo. Hahaha

Daah, too bad Shemeji hajui kingereza saaana, leo angemwaga ung'eng'e wa kufa mtu.

Ahsante saana Compact. Huko lazima twende mkuu kwa namna yoyote.

Tehteh... itabidi twende naye akapigwe msasa mbele. Ila hicho kiwango ukijumlisha na haba namwona mBritish [emoji4]
 
Mtakatifu hivi unajua mimi ndugu yako? Endelea kuniharibia tu wewe
 
Ahsante saana Compact. Huko lazima twende mkuu kwa namna yoyote.

Tehteh... itabidi twende naye akapigwe msasa mbele. Ila hicho kiwango ukijumlisha na haba namwona British [emoji4]
Atakuona nondo sana. Poa Chalii, furahia siku yako Mkuu.
 
hahhahah kwa nn nisikupitie mzee wa fursa ngoja kwanza tupewe location au ndio wanakata cake wenyewe wawili chumban
We si unazinguaga saa zingine? Nakuambiaga uje yale maeneo tuzungumze maneno fulani hutaki. Kwa hiyo hata leo ukinipitia utafikiri nakuelekeza kule kunako.
 
Tunaikata wote bhn... hasa wale memba wa ule uzi. Muite dada yako kwanza na mmewe
Dada anakuja Babu kapotea tunamtafuta siku ya pili leo hatujui alipo tumeshatoa matangazo kwenye tv na radio
 
We si unazinguaga saa zingine? Nakuambiaga uje yale maeneo tuzungumze maneno fulani hutaki. Kwa hiyo hata leo ukinipitia utafikiri nakuelekeza kule kunako.
nitakupitia tusubili location [emoji23]
 
Aisee nakuja mida flan na jamaa zangu pande hizo.
Banana wine ziwe za kutosha pande hizo.. Keki watakula ma do hao
Ndiyo maana magotii na mabega yamelelemuka. Acha banana ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…