Woyooooo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Baelezeeee Baelezeeee
Asante sana Daby kwa kulitambua hili
Jumapili ni siku ya kushinda na mume tu
Make from Mon-fri Kila mmoja bize na kazi tukirud tumechoka story mbiltatu hao tumesinzia
Sasa jumapili sasa khakhaakhaa
Woyooooooooooooooooooooo
Wee bange zako hizo unavutia wapi??Mke wa nani?
Sijasema namtaka kimapenzi. Nataka tu awe mshkaji wangu awe ananitembelea tuwe tunapiga misele na open roof.. Si unajua ninavyopenda vitom boy
Usiogope mimi nipo kwa ajili ya usalama, weka tu hiyo picha haina shida.Aaa wataniibia
Koflyn for you puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzzKoh koh koh
Mtu katoka kushina na mmewe kukata mauno wewe unachoshangilia ni nini?Woyooooo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nipe tu nimeze..Koflyn for you puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz
Huyu dogo sasa hivi kakumbatiwa na michepuko yake humpati labda saa 7 saa 8Evening lol
Ndo nalogin saivi
Hahaha daaah haya ndugu leo umeniwezaMtu katoka kushina na mmewe kukata mauno wewe unachoshangilia ni nini?
Aibu hii ndugu yangu.. Vingine unakaa kimya usisapoti.
Mahondaw huyo mwambie tu chochote... Ulishaniambia kuwa siendani na huyo tom boy.. Nikakuuliza kwa nn unamuita mahondaw tom boy? Ukakosa jibu.Huyu dogo sasa hivi kakumbatiwa na michepuko yake humpati labda saa 7 saa 8
Huyu ndugu yangu.. Akipotea njia lazima nimwambie kwa sababu uzuri wake hana kiburi.Hahahaahhahahaahahahahaha
Acha wivu Ivuga tatizo lako wivuuuuuuu
Kaushia basi
Mahondaw huyo mwambie tu chochote... Ulishaniambia kuwa siendani na huyo tom boy.. Nikakuuliza kwa nn unamuita mahondaw tom boy? Ukakosa jibu.
Yote kheriMtakatifu mtakatifu...
Ila ndugu kweli maneno mazuri wamebaki nayo wanawake karibia 200 uliopita nao. Leo Unakosa swagga za kumn'goa mtoto mpaka unanisaksia
Mahondaw kama yamefika huko tusameheane .. Naomba ufute hii laana ya kulegezana sehem za siri hii siitaki.. Hii mpe Daby kama complimentShindwa na ulegee kabisa Legea kotekote mpaka sehemu zako za siri
Eti.Yote kheri
Kwani matom boy hawapendwi????
Nakumbuka uliniambia kuwa neno chalii ni sawa na tom boy.Chalii yake MaHo nitaanzia wapi kukusnitch aseeh.
Nakupenda saana mate yake shemlove darling wangu you know haha