Happy birthday

Ana ni qoute madudu gani.

Eti chororororororororororororotrorororo. Kapewa break.

Sijaona mahusiano na comments zangu za nyuma
Unakumbuka asubuhi uliandika kuwa akipiga cha arusha anaandika madudu.. Labda ndio hayo?
 
Usisababishe nikuniaje aseeeh.

Kuna uhusiano gani wa comment zangu na huu ulichonitag hapa.

We only joke. Ingekuwa hasira ningekuwa wa kwanza kumtukana Ivuga.
Daby ndugu yangu mtoto mZuri huyo usimkazie..
Si aliende kuchororaroroor..

Sio mbaya Daby wewe hukasirikagi ungekuwa wa kukasirika usingekuwa unongea na mimi.
Hizi zote ni drama tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…