Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tofauti ya mahabusu ni kuwa unakuwa uko huru kwenda utakako, hakuna askari anayekufungia mlango, jamaa na familia yako unaishi nayo! Siku yakikukuta ndipo utajua jela ndiyo mahabusu na mahabusu ndiyo jela.Hayuko jela ila mahabusu tu, Acha kupotosha
Kama kitu hujui nyamazaTofauti ya mahabusu ni kuwa unakuwa uko huru kwenda utakako, hakuna askari anayekufungia mlango, jamaa na familia yako unaishi nayo! Siku yakikukuta ndipo utajua jela ndiyo mahabusu na mahabusu ndiyo jela.
Nyamaza! Ni wazi umeshindwa kutoa hoja sasa unanilazimisha nikubaliane na wewe. Kama hautaki mawazo yangu basi wewe hauna tofauti na CCM isiyotaka mawazo mbadala na inaamua kuwafunga wenye mawazo mbadala, mkoloni Tanganyika hakuwahi kuwafunga wenye mawazo mbadala, aliwasikiliza.Kama kitu hujui nyamaza
Inaonesha una stressNyamaza! Ni wazi umeshindwa kutoa hoja sasa unanilazimisha nikubaliane na wewe. Kama hautaki mawazo yangu basi wewe hauna tofauti na CCM isiyotaka mawazo mbadala na inaamua kuwafunga wenye mawazo mbadala, mkoloni Tanganyika hakuwahi kuwafunga wenye mawazo mbadala, aliwasikiliza.
Wewe ni sehemu ya walewale, Mbowe anateseka kwa kukosa uhuru wake wewe unoona yuko nyumbani kwakwe!
Hii ni siku kubwa sana kwa ukombozi wa mtanzania, hongera Freeman Mbowe!Leo ni siku yako ya kuzaliwa na unaiadhimisha ukiwa jela kutokana na kupigania Uhuru wa Nchi yako.
Mungu akupe maisha marefu
View attachment 1936625
Wewe ni mmoja mlioishusha JF of GT's kuwa JF, GT's waliokuwemo wameondoka baada ya kuona wanabishana na watu wasio na hoja ila wanapenda kulazimisha na kutukana.Inaonesha una stress
Mbowe aliwahi kufungwa ila mwisho wa siku mahakama ikamuachia na kusema eti alifungwa kimakosa! Hii ni baada ya kuona wamemnyorosha.angekuwa anafanya siasa za kistaarabu bila kupanga mauaji na kuhatarisha Amani ya Nchi leo hii angekuwa huru anakata keki nyumbani kwake na mke wake.
lkn matendo yake maovu leo hii yamemfanya awe gerezani.
kuna funzo kubwa la kujifunza kwa wafuasi wa Mbowe kuwa Uhalifu haulipi, uhalifu utakufanya uozee jela huku ukiacha familia yako inateseka.
tuache kushabikia uhalifu kwa kivuli cha kudai eti uhuru wa nchi.
Siyo 9 December?Leo ni siku yako ya kuzaliwa na unaiadhimisha ukiwa jela kutokana na kupigania Uhuru wa Nchi yako.
Mungu akupe maisha marefu
View attachment 1936625
Alibatizwa 9 desembaSiyo 9 December?
Hakustaafu banki kuu bali alitoroka na tuhuma ya wizi juu yake- labada aliiba kweli.Itoshe tu kumtakia heri katika siku hii muhimu kwake.
Mungu wa mbinguni azidi kumbariki na kumtia moyo, Freeman ametoka mbali sana kiharakati kuliko watu wengi wanavyomtazama na kumfikiria.
Siasa siyo uadui!
We dada hukupata "cha asubuhi" kutoka Tigo?Hakustaafu banki kuu bali alitoroka na tuhuma ya wizi juu yake- labada aliiba kweli.
Uhuru Kenyatta aliwahi kusema “huyu Raila analalamika anaibiwa kura kila uchaguzi, kama anajua huo wizi na yeye si aibe”.Aliiba uyo akaaja anzisha tasisi ambayo inakusanya michango kwa lengo ya kusaidia watanzania
Tunaona sky eclat wewe kamatwa miye naanzisha harambee jamani m pesa, tigo pesa nk namba hizo changeni pesa tumtoe sky eclat, zikija tunakula hivyo yani tunamshuru DJ kunazisha hii tasisi na ndio maana hatutaki maridhiano yoyote msajili akituita hatutaki IGP akituita hatutaki sijui mama Samia akituita hatutaki cause tukielewana tutapigaia wapiUhuru Kenyatta aliwahi kusema “huyu Raila analalamika anaibiwa kura kila uchaguzi, kama anajua huo wizi na yeye si aibe”.