Happy born day Mwamba Mbowe

Happy born day Mwamba Mbowe

Tofauti ya mahabusu ni kuwa unakuwa uko huru kwenda utakako, hakuna askari anayekufungia mlango, jamaa na familia yako unaishi nayo! Siku yakikukuta ndipo utajua jela ndiyo mahabusu na mahabusu ndiyo jela.
Kama kitu hujui nyamaza
 
Kama kitu hujui nyamaza
Nyamaza! Ni wazi umeshindwa kutoa hoja sasa unanilazimisha nikubaliane na wewe. Kama hautaki mawazo yangu basi wewe hauna tofauti na CCM isiyotaka mawazo mbadala na inaamua kuwafunga wenye mawazo mbadala, mkoloni Tanganyika hakuwahi kuwafunga wenye mawazo mbadala, aliwasikiliza.
Wewe ni sehemu ya walewale, Mbowe anateseka kwa kukosa uhuru wake wewe unoona yuko nyumbani kwakwe!
 
Inaonesha una stress
 
Inaonesha una stress
Wewe ni mmoja mlioishusha JF of GT's kuwa JF, GT's waliokuwemo wameondoka baada ya kuona wanabishana na watu wasio na hoja ila wanapenda kulazimisha na kutukana.
FORUM ni sehemu ya mijadala na mtu hajibiwi kwa nyamaza, usiweke mjadala kwenye Forum kama hautaki mawazo tofauti.
Namalizia kukujulisha kuwa mahabusu imo ndani ya gereza na kanuni za kuingia na kutoka ni zilezile.
 
angekuwa anafanya siasa za kistaarabu bila kupanga mauaji na kuhatarisha Amani ya Nchi leo hii angekuwa huru anakata keki nyumbani kwake na mke wake.
lkn matendo yake maovu leo hii yamemfanya awe gerezani.
kuna funzo kubwa la kujifunza kwa wafuasi wa Mbowe kuwa Uhalifu haulipi, uhalifu utakufanya uozee jela huku ukiacha familia yako inateseka.
tuache kushabikia uhalifu kwa kivuli cha kudai eti uhuru wa nchi.
 
Mbowe aliwahi kufungwa ila mwisho wa siku mahakama ikamuachia na kusema eti alifungwa kimakosa! Hii ni baada ya kuona wamemnyorosha.
 
Itoshe tu kumtakia heri katika siku hii muhimu kwake.

Mungu wa mbinguni azidi kumbariki na kumtia moyo, Freeman ametoka mbali sana kiharakati kuliko watu wengi wanavyomtazama na kumfikiria.

Siasa siyo uadui!
Hakustaafu banki kuu bali alitoroka na tuhuma ya wizi juu yake- labada aliiba kweli.
 
Aliiba uyo akaaja anzisha tasisi ambayo inakusanya michango kwa lengo ya kusaidia watanzania
 
Uhuru Kenyatta aliwahi kusema “huyu Raila analalamika anaibiwa kura kila uchaguzi, kama anajua huo wizi na yeye si aibe”.
Tunaona sky eclat wewe kamatwa miye naanzisha harambee jamani m pesa, tigo pesa nk namba hizo changeni pesa tumtoe sky eclat, zikija tunakula hivyo yani tunamshuru DJ kunazisha hii tasisi na ndio maana hatutaki maridhiano yoyote msajili akituita hatutaki IGP akituita hatutaki sijui mama Samia akituita hatutaki cause tukielewana tutapigaia wapi
 
Back
Top Bottom