sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Wana Chitchat..
Tunawatakia sikukuu njema ya pasaka na tunapenda kuwakumbusha kuwa makini kipindi hichi cha sikukuu.. Bujibuji unapenda sana kunywa huku ukiendesha.. ni hatari sana na haswa kipindi hiki cha sikukuu..

saudari wewe unapenda sana kufanya vibweka ukilewa...

Bishanga & The secretary mkishalewa badala ya kwenda home mnakaa popote pale bila ya kujali hatari..

huyu ni wewe kweli Arabela..? kuwa makini sikukuu hii..

kuweni kama mie na my waifu Paloma..

Nice holiday guys.. much love from me..

Last edited by a moderator: