Nimekumic we mtu, vp unaendeleaje na maandalizi ya passover...
Bila shaka wewe utaachwa kesho ijumaa kuu.
Hajawanunulia watoto kaunda suti..Happy Easter Rich woman..Nimekumic we mtu, vp unaendeleaje na maandalizi ya passover...
Nimekumissije Paloma wangu?
Hata mimi na my waifu Zion Daughter tunawatakieni ijumaa njema pamoja na pasaka zake njema...
Heee saudari..! Safari_ni_Safari kaja kutangaza hapa ati ulikuwamo kwenye ghorofa lililoporomoka pale Indira Gandhi/Morogoro road..!