The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Mambo gani tena ya kuongozana na mkwe ??
Goshhh nimeishasahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo gani tena ya kuongozana na mkwe ??
hahahaha Lily Flower atakuwa anasafiri kweli bana ondoa hofu na mashaka,kwa raha zako enyoy ur weekend
Utaniazima hivyo viatu nimechishe kwenye anivesali yangu ya miaka 18
Huwa ina raha yake lakiniSafari moja huanzisha nyingine
half Kg??, naona ka unaupunja huo mwili....😛opcorn:
Huwa ina raha yake lakini
Haya usijekushitaki hapa
Aksante nawe pia
Goshhh nimeishasahau
Kilo moja, basi fanya kuagiza kilo tatu basi halafu angalia kama BLACK LABEL au BALLANTINES ipo
Yakitokea mashitaka nitayaleta kwako
Haya bana si unajua ukubwa nao dawa??
Desidii napenda kujua wasifu wako tafadhari:clap2::coffee::tea:
hapa nilipo leo kuna kanivo la wajamaica na waifu hayupo around heheheeh naenda kuitest resistance yangu widhauti waifu leothank GOD ITS FRIDAY