Happy Friday Mashost na ma sweetheats.....

Happy Friday Mashost na ma sweetheats.....

Asprin, Kaizer na Finest, tabia yenu ya kukimbiza thread kabla sijafika hapa muache.

Thanks FL1, na iwe kwako kama ulivyotaka iwe kwetu mpendwa.
Ubarikiwe sana.
 
Wapenzi nawatakia Ijumaa njema na weekend yote kwa ujumla nadhani itakuwa njema sana hasa nikiangalia ndio mwisho wa mwezi wenyewe kwa wale wenzangu walio katika ajira na wale mabiziness man /women ndo mnafanya monthly stock taking..
1.Msisahau family zenu mkazamia Bar na kurudi home mifuko tupu.
2.Msiache kina Eliza wakatumia feza mpaka mifuko ikakung'utwa
3.Kunyweni kwa afya na si kwa mashindano
5.Make sure watoto wanafurahia weekend na baba na mama
6.Wale ma Infiiiiiii ..kumbukeni kutumia Protection lile janga likiingia ndo limeteketeza family na kuacha watoto wanateseka
7.Tafadhari tusiache kutoa zaka Maana tutakuwa tunaomba mungu atupe mafanikio na tunayapata lakini sifa na utukufu tunashindwa kurudisha kwake

23.gif

Love u all

Same to you Firstlady!..Take good care of yourself!!
TGIF
 
Asprin, Kaizer na Finest, tabia yenu ya kukimbiza thread kabla sijafika hapa muache.

Thanks FL1, na iwe kwako kama ulivyotaka iwe kwetu mpendwa.
Ubarikiwe sana.

Namkimbiza mkoloni leo nimezima main switch makusudi umeme umekatika ili aondoke ofisini kazi zisimame maana na hilo joto hawezi vumilia ameondoka nimeiwasha tena main switch
 
Back
Top Bottom