Happy heavenly birthday Hayati Rais John Pombe Magufuli

Na alaaniwe anayempongeza marehemu muuaji badala ya kulaani siku yake ya kuzaliwa
 
IQ yako ni ndogo sana kuniuliza maswali!
 
Magufuli bado yuko intransit jehanam na rambo yake. Hata shetani anamuogopa kumpokea kwa ukatili alioufanya Tanzania.
 
Magufuli was ruthless dictator, murderer, thief and pathological liar. He is honoured by the fools who are the majority in Tanzania
 
Yeyote anayedhani hayati Magufuli alikuwa ana PhD halali, aje ajibu maswali haya ambayo Ben Saanane aliuliza akiwa hai, hayakujibiwa mpaka Magufuli mwenyewe anakufa hakuweza kujibu.
 
The Great, Hero and Patriotic President. The World, Region and Tanzania is real missing you. Happy Birthday and Rest in Peace
 
Yeyote anayedhani hayati Magufuli alikuwa ana PhD halali, aje ajibu maswali haya ambayo Ben Saanane aliuliza akiwa hai, hayakujibiwa mpaka Magufuli mwenyewe anakufa hakuweza kujibu.
Nitayajibu kwa niaba yake jioni ya leo baada ya masaa ya kazi. Nitajibu hoja kwa hoja maana nilikuwa UDSM wakati huo anamalizia PhD mie nikimalizia Bachelor degree
 
Magufuli was ruthless dictator, murderer, thief and pathological liar. He is honoured by the fools who are the majority in Tanzania
I sympathise with you if you were accidentally affected by the reform the Late Dr. Magufuli administered during his tenure. I know reforms usually comes with consequences.

Regarding your irritations, it is summarily to say, the Good thing is, the Late Dr Magufuli can defend himself now, regarding what he did to this country for almost twenty five years of his public service.

I rest my case.
Asubuhi njema Mkuu.
 
%!000
 
Watu hawa wote sidhani kama kuna hata mmoja alishurutishwa kuja kumuaga Magufuli, huu ina maana kwamba ingawa alichukiwa na wengi lakini wengi zaidi walimpenda. Aendelee kupumzika kwa amani, maisha na uongozi wake ulikuwa ni darasa tosha kwenye maisha na taifa letu, tuna mshukuru Mungu na tunapongeza sana wazazi wake.
Your browser is not able to display this video.
 
Nitayajibu kwa niaba yake jioni ya leo baada ya masaa ya kazi. Nitajibu hoja kwa hoja maana nilikuwa UDSM wakati huo anamalizia PhD mie nikimalizia Bachelor degree
Unaweza ukawa ulikuwa UDSM lakini ulikuwa mfagiaji au mpishi jikoni. Utakachotuambia ni kwamba ulikuwa unamuona akija kwenye viunga vya chuo.

Nataka ukija hapa utuambie kabisa kwa sasa hilo andiko lake kama liko maktaba za UDSM! Na kama halipo kwa nini limeondolewa
 
Zile hazikuwa reforms bali ulikuwa ni UKICHAAA mtupu, ndiyo maana Mungu alimtoa mapema tarehe 17/ 03/ 21.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…