Happy heavenly birthday Hayati Rais John Pombe Magufuli

Yeyote anayedhani hayati Magufuli alikuwa ana PhD halali, aje ajibu maswali haya ambayo Ben Saanane aliuliza akiwa hai, hayakujibiwa mpaka Magufuli mwenyewe anakufa hakuweza kujibu.
PhD zote za bongo, Research zote za kibongo kwenye Journals mbali mbali hawajaandika wenyewe wameandikiwa ama wamefanyiwa na wao ni kuzilipia na kizi own ,naamini anayelalamika hizi habari za research kuandikiwa ni either hana Masters ama ni mwanafunzi wa hiyo masters au PhD,ila kila graduate hawezi kufungua mdomo kwenye hili,maana research huwezi kufanya peke yako mwenyewe,kuna plagiarisms hii itaonyesha ni ya watu wangapi waneshaifanya na utakataliwa research yako,itakulazimu kuomba mtu akusaidie kupunguza plagiarism ama akufundishe kuandika upya bila plagiarism,kuna kurekebisha language lazima mtu akusaidie sababu hatujazaliwa na lugha za kigeni,halafu kuna marekebisho ya Profesa anayekusimamia,inafika wakati idea yako inapotea na inakulazimu kuchukua idea ya Profesa aliyekurekebisha,hivyo itakulazimu mtu akusaidie kuiandika upya,Sasa ninyi mnaolalamika ooh sio yake,je za kwenu ziko wapi mlizoandika wenyewe bila marekebisho ya Profesa ama mtaalam wa language au mpunguza plagiarism kumbuka hii plagiarism ukiweka neno litakwambia hili neno ameshatumia mtu fulani kwa hiyo yuko wapi mwenye maneno yake mwenyewe ambayo hayajatumiwa na mtu yeyote?
 
Unakaza shingo kutetea UJINGA!! Nyambaff. Na wewe unajiona ni msomi!!
 
Bahati nzuri hoja zinajibika Bahati mbaya muhusika wa kizisikiliza hayupo. Sina hakika kama unataka zijibiwe hoja hizi za Ndugu Ben! Jambo lingine, sidhani kama unatenda haki kumuhusisha The Late Dr. Magufuli na hoja za Ndugu Ben na kupotea kwake.

Kwa sababu hakuna uchunguzi rasmi kutoka kwenye Vyombo vyetu halali vya ulinzi na usalama ama vya kutoa haki vilivyodhibitisha jambo hili.

Kwa hiyo, kurejea hoja hizo za Ndugu Ben, aliyepotea, kwenye uzi huu, ni kukosa weledi wa kimalengo katika kukuza mambo mema kwa Taifa hili la Tanzania na kupinga kwa nguvu zote mambo mabaya.
Hivi mbona hiv sasa lile kundi la wasiojulikana limetoweka na mwendazake?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini wewe sio graduate kama ungekuwa graduate ungefunga domo lako maana kila graduate anajua kwamba research haifanywi na mtu mmoja akaimaliza bila msaada wa watu wengine,na Ili research ikubaliwe lazima itapita kwenye plagiarism Ili kujua kama imewahi kufanya na mtu mwingine ikionekana imewahi kufanywa na mtu mwingine utarudishiwa kuondoa hizo plagiarism hadi ifike 29% sasa wanaopiga kelele either ni darasa la Saba ambao hawajawahi kufanya research maisha yao yote.
Unakaza shingo kutetea UJINGA!! Nyambaff. Na wewe unajiona ni msomi!!
 
Naamini wewe sio graduate kama ungekuwa graduate ungefunga domo lako maana kila graduate anajua kwamba research haifanywi na mtu mmoja akaimaliza bila msaada wa watu wengine,na Ili research ikubaliwe lazima itapita kwenye plagiarism Ili kujua kama imewahi kufanya na mtu mwingine ikionekana imewahi kufanywa na mtu mwingine utarudishiwa kuondoa hizo plagiarism hadi ifike 29% sasa wanaopiga kelele either ni darasa la Saba ambao hawajawahi kufanya research maisha yao yote.
Mimi ni graduate na ninayo Masters na Thesis nimeandika. Sina haja ya kukushawishi wewe. Ila hapa nakuletea Thesis aliyokopi Magufuli kwa Dr Y J Philip ili wewe uniwekee hiyo ya Magufuli yenye 29% plagiarism. Like chapisho alikopi kutoka kwa Dr J Y Philip ambaye alikuwa anafanya sandwich program linaitwa "The potential of anarcadic acid self assembled monopolymers from cashewnut shell liquid as corrosion protection coating"
 
Mimi ni graduate na ninayo Masters na Theais nimeandika. Sina haja ya kukushawishi wewe. Ila hapa nakuletea Thesis aliyokopi Magufuli kwa Dr Y J Philip ili wewe uniwekee hiyo ya Magufuli yenye 29% plagiarism. Like chapisho alikopi kutoka kwa Dr J Y Philip ambaye alikuwa anafanya sandwich program linaitwa "The potential of anarcadic acid self assembled monopolymers from cashewnut shell liquid as corrosion protection coating"
Kwa hiyo unamaanisha UDSM iliyotoa hiyo PhD ni chuo cha kata?
 
Taifa limetulia sasa mwaka wa wa3. MUNGU Aliamua ugomvi akawaokoa wana wa nchi kwenye mikono ya dictator katili alienuka damu kwa kuwatoa roho wana wa nchi wasio na hatia.... nchi ili najisiwa chini ya dictator ibilisi jiwe aka mwendakuzimu... na hivyo Mungu akaghadhabika akaamua kumpiga dictator kwa mkono wake wa kulia basi ikawa mwisho wa dictator na ikawa mtu wa jehanam
 
Matukio kama haya yalikoma baada ya dhalim kufwariki
FB_IMG_1698722947521.jpg
1679652251550.jpg
 
Taifa limetulia sasa mwaka wa wa3. MUNGU Aliamua ugomvi akawaokoa wana wa nchi kwenye mikono ya dictator katili alienuka damu kwa kuwatoa roho wana wa nchi wasio na hatia.... nchi ili najisiwa chini ya dictator ibilisi jiwe aka mwendakuzimu... na hivyo Mungu akaghadhabika akaamua kumpiga dictator kwa mkono wake wa kulia basi ikawa mwisho wa dictator na ikawa mtu wa jehanam
Mkuu pata supu ya utumbo na spaleta baridi kwa madini haya. Nitalipa tu kwa mawazo
 
Baba kijana wako Makonda kavivaa viatu vyako anazunguka navyo Tanzania nzima na watu wanamfuata wakizani ni wewe umerudi tena,
 
M23 wameomba poo
 
Attachments

  • IMG-20240204-WA0624.jpg
    IMG-20240204-WA0624.jpg
    57.2 KB · Views: 3
Usipoheshimu watawala bas unasitahili adhabu
Heshima kwa watawala hata wakiwa washenzi? Yeah, naona ndio maana Mobutu aliwanyoosha kikamilifu Wakongomani walioshindwa kumpigia magoti. Hadi leo wamekuwa wanyonge wa kutupwa wanasulubiwa hata na wakimbizi wa Kitusi na kihutu nchini kwao.

Nchi makini zilizoendelea huo ujinga wa kuheshimu watawala wapuuzi haupo. Watawala wanapewa facts zao mubashara. Huko Israel, Netanyahu anakumbushwa mara kwa mara kuwa akimaliza vita na Hamas, ajiandae kuondoka madarakani.
 
Sawa mkuu umeeleweka
 
Back
Top Bottom