Happy Holidays wapare wenzangu

Happy Holidays wapare wenzangu

Mi wavudee, ngoja nikuelekeze kuazia thame, unapanda kilengaa, kituo cha kwanza mwembe,unakuja mgungani...mbele kidogo njia ya kupanda thujii, unakuja mkanyeni....unapita mto pendwa ngambini, unafika vudee msanga hapo ndo home...ukitaka kwenda chome lazima upite hapo vudee.msimu kama huu kipindi hicho pale ndo town kwenyewe tunamsikiliza babu yangu kibaja na igitaa[ maimuna]kina babu issa na bibi kopina. raha sanaa, tujiburudishe na kajimbo haka tufunge mwaka. chai ni huruuuu mkate ningafuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123][emoji115][emoji106][emoji123][emoji123][emoji323][emoji322][emoji323][emoji322][emoji319][emoji323][emoji898]
 
Nawasabahi wapare wote popote mlipo
IMG_20181227_103339_791.jpeg
 
Ukweli unaujua.
Na hawanaga mambo mengi sijui ninyonye sijui nipige katerero.. hawana hizoo.
Ila mm nitakufundisha hayo mambo mengi kama dunia haijafundisha bado. Sababu wadsm sio watu wazuri pia

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwahyo sie wasukuma ni kama wachaga??magogo??hatujui raha eh??hahaha acha kukariri.. siku hizi had pesa tinaomba nakuambia...tena ujr pm unisaidie fee ya mwanangu๐Ÿ˜Š
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwahyo sie wasukuma ni kama wachaga??magogo??hatujui raha eh??hahaha acha kukariri.. siku hizi had pesa tinaomba nakuambia...tena ujr pm unisaidie fee ya mwanangu๐Ÿ˜Š
HAhaha .
Umeni quote vibaya.
Ila wachaga wapo vizuri hakuna magogo hayo ni maneno tu.
Na wasukuma level niliyozungumzia ni level nzuri, yani unfurahia kuwa na mdada kama wewe.
Sio kam wazaramo au waswahiki Vigodoro kukata mauno hadharani etc.

Nicheki pm basi
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sawa mpare..ila nimewah ambiwa wapare watamu...full raha..check bas na mm pm tujue tunaarange vipi๐Ÿ˜Š
 
Back
Top Bottom