Happy International Men's day

Yeah, nitamkumbuka tena February 14 huku nikimsapraizi na mizawadi ya kufa mtu, boxa 1 vest 1, na pair 1 ya socks
Na hyo mizawadi unaisindikiza na maeneno lukuki...! Akikuudhi lazima ukumbuke boxer 1 vest 1 socks 1...!
Babe mama mi sivaagi vest na soksi niletee boxer tu.
 
Hakuna mwanamke ambae hajui kuappreaciate ukimfanyia caring....labda ulikuwa unamsimanga baada ya kumpa vitu vyako[emoji848]
 
Hakuna mwanamke ambae hajui kuappreaciate ukimfanyia caring....labda ulikuwa unamsimanga baada ya kumpa vitu vyako[emoji848]
Wapo wengi sana. Mwanamke ambaye kika kitu ni kulalamika ni ngumu sana kuonesha appreciation.
 
Mwanaume ni yule anayeficha chozi lake ili kulinda furaha ya watoto wake...
Happy International Men's day to you all! I love & celebrate you 😘

Ila acheni kuficha machozi yenu...mnajilimbikizia hisia hasi ambazo matokeo yake sio mazuri in the long run.

You are not robots!!!It's for owwkey for you guys to not be owwkey sometimes.
 
Wanasema kwamba, when you know that the life of others depend on you, you don't have the right to be afraid....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…