Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Witty serema....😁😁Ukweli lazima usemwe Eve[emoji16][emoji16]
Utamu wanao japo wanazingua!
Btw sikuon kwenye ule uzi wetu asee, kimenuka sikuon
Wapi huko??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Witty serema....😁😁Ukweli lazima usemwe Eve[emoji16][emoji16]
Utamu wanao japo wanazingua!
Btw sikuon kwenye ule uzi wetu asee, kimenuka sikuon
Asee nimekutag!Witty serema....[emoji16][emoji16]
Wapi huko??
Aiseee acha tu nijivunie kuwa Mwaname nipambane ili wapate nguvu ya kuja kuimba nani kama mamaaMfalme alipata hamu ya kula samaki akaamua kutembelea ufukweni siku hiyo ikawa samaki hakuna wavuvi wote wamekosa samaki.
Wakati anarudi na wafuasi wake ndipo akakutana na Mvuvi mmoja tu alie bahatika kupata samaki watatu 3 Mfalme akataka kuwanunua Mvuvi akakataa kuwauza samaki wake.
Mfalme akaomba auziwe japo mmoja Mvuvi akamwambia Mfalme huyu samaki mmoja naenda kumkopesha sijui kama nitalipwa.
Na huyu mwengine naenda kulipa deni sijui kama nitalimaliza na huyu wa tatu naenda kumtupa
Mfalme akachukizwa kwa majibu yale akaamuru anyang'anywe wale samaki nae atupwe gerezani,
Akiwa Ikuru Mfalme akaamuru yule mvuvi aletwe mbele yake ili amuhoji
Kwanini umekataa kuniuzia mimi samaki wakati unaenda kumkopesha tena hujui kama utalipwa,,? Wapili unaenda kulipa deni na hujui kama utalimaliza,,? Kisha mwengine unaenda kumtupa wakati mimi nina shida na samaki,,?
Mvuvi akamjibu Mfalme
Huyu ninae kwenda kukopesha sijui kama nitalipwa naenda kuwapa wanangu
Kwani kuwaudumia watoto hujui kama na wao watakuhudumia
Na huyu nae kwenda kulipa deni sijui kama nitalimaliza nawapelekea wazazi wangu,
Kwa waliyo nitendea siwezi kuwalipa hata niwape nini,
Na huyu ninae enda kumtupa naenda kumpa Mke wangu
Kwani hao hawajui kushukuru wala kutosheka, hata uwape nini siku akicharuka tu atasema hujamfanyia chochote tokea umuoe!
Happy International Men's day
Amen, itakua umefanya kwa sehemu yakoAiseee acha tu nijivunie kuwa Mwaname nipambane ili wapate nguvu ya kuja kuimba nani kama mamaa
Sina la kuongeza katika hili,naogopa nisije kuharibu.Mubarridi ,You are an International man. Happy International Men's day. Furahia siku yenu.
Best video indeed...My best Video clip ya Baba na Bintiye. Kama una bundle please isikilize
Najua ulichotamani kusema. Ya kwamba hamuhitaji siku, No?Sina la kuongeza katika hili,naogopa nisije kuharibu.
Ngoja tuendelee kufurahia.
Nimefurahi kwa kulijua hilo.Najua ulichotamani kusema. Ya kwamba hamuhitaji siku, No?
Hivi theme yenu ya mwaka huu ni nini tena?
Nimefurahi kukuona Mubarridi, nilikukumbuka sana.Nimefurahi kwa kulijua hilo.
Sijajua ngoja wadau waje watuambie. Kauli mbiu ni ipi mwaka huu.