Happy Mariage Day:- Njooni tuwape pole waliojitafutia majanga makuu kwenye hii dunia ya utandawazi..!!!

Ikawe khery mkuu πŸ‘Š......

Wanasema mzeeke pamoja
 
Sijawahi kuona shabiki wa Liverpool FC mjinga kama huyu! Wewe mwenyewe hapo ulipo siyo wa baba huyo unayemwita baba!
 
Tatizo huwa unaangalia ndoa kwa watu waliofeli!
 
Nipe info za mama watoto mlikutana wapi πŸ˜‚

Na vipi bado upo na kina rechoo 😝
Hahah!kaka Namba Moja ni Classified.πŸ˜†πŸ˜†

Namba mbili Kaka Kuna Catty hapo kati. Huyu siku nikiwa na vibe la kuandika ntamuweka palepale kwenye Ndala ZANGU.
 
Hahah!kaka Namba Moja ni Classified.πŸ˜†πŸ˜†

Namba mbili Kaka Kuna Catty hapo kati. Huyu siku nikiwa na vibe la kuandika ntamuweka palepale kwenye Ndala ZANGU.
Aaaah kumbe.... Toa ya mama hovering hapo πŸ˜‚πŸ˜‚

Vp mishe zinaendaj hapo braza
 
Mungu zibariki ndoa zote, zikawe za furaha, amani, upendo, kuvumiliana na kuchukuliana. Na umuondoe shetani anayemuandama mtoa mada, mponye nafsi yake na ufurushi.
 
Ndoa ni kwa ajili ya wanaume tu, vijana wa kiume hapo hamuwezi kuelewa. Ndoa imara ndio inasababisha kuwe na watoto waliolelewa kwenye maadili, wenye kuweza kufanya maamuzi sahihi na kusimama vizuri kwenye nafasi zao ndani ya jamii.

Changamoto zipo nyingi. Ila taasisi ya ndoa haiwezi kupuuzwa na wavulana wachache au mabinti wachache wanaoendekeza umalaya na zinaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…