Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Ikawe khery mkuu 👊......Tupo mkuu 😊 naziona anniversary kibao za ndoa yangu.
We happy na mtoto kafanana na nani...
Ngoja niweke dedication hapaa
NADIA MUKAMI_KAI WANGU
Some of lyrics....
Mtoto anafanana na nani
Je ana macho kama Nadia Mukami
Atapenda gym kama baba yake Ali
Ndio maswali najiuliza tu kichwani
Niliposikia nakupata
Nililia machozi ya furaha
Ingawa sikuwa ready kukupata
Sina budi sasa kuitwa mama
Ila usijali
Mama yako mchapa kazi sana
Baba yako ana roho safi sana
Wazazi wako wote maarufu sana
Ee wangu ee utatesa sana
Namwita Jina Kai Kai Kai Kai wangu wee
Namwita Jina Kai Kai Kai Kai wangu wee
(Kai, kai kai,) (Kai kai kai yoyo) (oyo yoooo
Wanasema mzeeke pamoja