Soma BIBLIA upate maarifa, usikubali kusomewa na kuona ni sawa, kumbuka kila nafsi itajiponya yenyewe, kwa upande wangu nakushauri kama kweeli unataka kujua hili jambo bila ubishi usio na maana tafuta kanisa la WASABATO ibada ni jtano, ijumaa jioni na jmosi uombe msaada kwa kiongozi wa kanisa na atakupa majibu yote yanayo kukereketa Mkuu
Mkuu sii kwamba siwezi kukupa jibu, ninayo majibu ya kimaandiko juu ya NINACHOAMINI na kwa hakika wewe waabudi usichokijua ila mimi naabudi nikijuacho, nlikwambia uende kwa mchungaji ama mwijilisti cause yakupata ushauri na majibu ya ana kwa ana, narudia tena, Elimu nliyokuwa nayo inatosha kunifanya nibishanie kitu nlichofanyia RESEARCH ila wewe kama mwana JF ulishawahi fanya uchunguzi wa ndani juu ya hili.? Ama wataka kubishana na mimi ili ujione upo right.? Kama wataka ubishani sina muda kama huo mkuu nakupa ushindi plainly afteroll "kila mtu anaamua kuikoa nafsi yake iwe upande wa KUPONA ama KUANGAMIA milele".Wewe, huwezi kunipa jibu mpaka mchungaji wako? Unachoniambia mimi nisifanye wewe ndio unakifanya
WAPI KWENYE BIBLIA MUNGU ALIPOTUAMBIA TUMWABUDU SIKU YA SABATO?
Mkuu sii kwamba siwezi kukupa jibu, ninayo majibu ya kimaandiko juu ya NINACHOAMINI na kwa hakika wewe waabudi usichokijua ila mimi naabudi nikijuacho, nlikwambia uende kwa mchungaji ama mwijilisti cause yakupata ushauri na majibu ya ana kwa ana, narudia tena, Elimu nliyokuwa nayo inatosha kunifanya nibishanie kitu nlichofanyia RESEARCH ila wewe kama mwana JF ulishawahi fanya uchunguzi wa ndani juu ya hili.? Ama wataka kubishana na mimi ili ujione upo right.? Kama wataka ubishani sina muda kama huo mkuu nakupa ushindi plainly afteroll "kila mtu anaamua kuikoa nafsi yake iwe upande wa KUPONA ama KUANGAMIA milele".
Haya Mkuu, at first nlijua wataka kuufahamu ukweli kumbe nlikuwa nimekosea kuwaza hivo, Nadhani ukibaki na unachoamini nami ninachoamini haitakuwa shida sana.? Ama wasemaje Mkuu kitukoHuna jibu lolote kaka, Ndio maana nasema siku zote Wasabato sio Wakristo, Hakuna Mkristo anayesema uongo bwana, yaani wewe uone kwenye Biblia agizo la kuabudu Jumamosi na ukae kimya
., kwa nini usiwe mkweli tu, we huitaki pepo?
Haya Mkuu, at first nlijua wataka kuufahamu ukweli kumbe nlikuwa nimekosea kuwaza hivo, Nadhani ukibaki na unachoamini nami ninachoamini haitakuwa shida sana.? Ama wasemaje Mkuu kituko
Hapana sio nabii Mke, naomba kujua ww dhehebu gani kwanza Mkuu, isije ikawa huna dini ukabaki kituko mtaaniLete andiko kaka, acha mapokeo, wapi Mungu aliposema tumwabudu siku ya Sabato? Au ndio maelekezo ya Nabii Mke?
Hata ukiambiwa hutoelewaWewe, huwezi kunipa jibu mpaka mchungaji wako? Unachoniambia mimi nisifanye wewe ndio unakifanya
WAPI KWENYE BIBLIA MUNGU ALIPOTUAMBIA TUMWABUDU SIKU YA SABATO?
Hata ukiambiwa hutoelewa
Hapana sio nabii Mke, naomba kujua ww dhehebu gani kwanza Mkuu, isije ikawa huna dini ukabaki kituko mtaani
Bwana awe nawe Mkuu.Kaka unapoulozwa swali wewe jibu kwa kutetea imani yako na pia kuwavuta watu kwenye imani yako, unauliza dini/dhehebu langu ili iweje?, ili utengeneze maswali ya kukimbia hoja?
Nijibu, fundisho hilo la kumuabudu Mungu siku ya Sabato umelipata wapi?
Bwana awe nawe Mkuu.
Sawa kabisa lakini pia soma Mathayo 20: 18 - 19" Ukimaliza niambie mataifa ni nani?? Ni wayahudi??Soma Yoh 5:18. Nina uhakika ukimaliza kusoma leo jioni hutasoma "lesoni" tena
Mataifa Mimi siwajui katika muktadha huu, ila ninachojua ni kuwa wayahudi ndio waliomuua Yesu sababu mojawapo alivunja Sabato na sisi wafuasi wa Yesu hujitahidi sana kufuata nyayo zakeSawa kabisa lakini pia soma Mathayo 20: 18 - 19" Ukimaliza niambie mataifa ni nani?? Ni wayahudi??
Huyo hata usihangaike nae, mwisho wa siku utaishia kukwazika tu.Mkuu sii kwamba siwezi kukupa jibu, ninayo majibu ya kimaandiko juu ya NINACHOAMINI na kwa hakika wewe waabudi usichokijua ila mimi naabudi nikijuacho, nlikwambia uende kwa mchungaji ama mwijilisti cause yakupata ushauri na majibu ya ana kwa ana, narudia tena, Elimu nliyokuwa nayo inatosha kunifanya nibishanie kitu nlichofanyia RESEARCH ila wewe kama mwana JF ulishawahi fanya uchunguzi wa ndani juu ya hili.? Ama wataka kubishana na mimi ili ujione upo right.? Kama wataka ubishani sina muda kama huo mkuu nakupa ushindi plainly afteroll "kila mtu anaamua kuikoa nafsi yake iwe upande wa KUPONA ama KUANGAMIA milele".
Happy day mkuuHappy Sabbath wapendwa