Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
Soma BIBLIA upate maarifa, usikubali kusomewa na kuona ni sawa, kumbuka kila nafsi itajiponya yenyewe, kwa upande wangu nakushauri kama kweeli unataka kujua hili jambo bila ubishi usio na maana tafuta kanisa la WASABATO ibada ni jtano, ijumaa jioni na jmosi uombe msaada kwa kiongozi wa kanisa na atakupa majibu yote yanayo kukereketa Mkuu
Wewe, huwezi kunipa jibu mpaka mchungaji wako? Unachoniambia mimi nisifanye wewe ndio unakifanya
WAPI KWENYE BIBLIA MUNGU ALIPOTUAMBIA TUMWABUDU SIKU YA SABATO?