Happy Sabbath

Happy Sabbath

Funny[emoji1] [emoji1] . Are you proud of one of the things that killed Jesus?
Shabbat Shalom! mheshimiwa kitinku unasoma biblia gani? wayahudi hawakumwua Yesu bali ni mataifa(non Jews). Shabbat Shalom
 
Shabbat Shalom! mheshimiwa kitinku unasoma biblia gani? wayahudi hawakumwua Yesu bali ni mataifa(non Jews). Shabbat Shalom
Yesu kauliwa na Watunza Sabato, au ndio mmeanza kutumia Biblia yenu mpya ya Nabii Mke?
 
Wapi Mlipoambiwa mumwabudu Mungu siku ya Sabato?, andiko gani hilo?
Soma BIBLIA upate maarifa, usikubali kusomewa na kuona ni sawa, kumbuka kila nafsi itajiponya yenyewe, kwa upande wangu nakushauri kama kweeli unataka kujua hili jambo bila ubishi usio na maana tafuta kanisa la WASABATO ibada ni jtano, ijumaa jioni na jmosi uombe msaada kwa kiongozi wa kanisa na atakupa majibu yote yanayo kukereketa Mkuu
 
Shabbat Shalom! mheshimiwa kitinku unasoma biblia gani? wayahudi hawakumwua Yesu bali ni mataifa(non Jews). Shabbat Shalom
Soma Yoh 5:18. Nina uhakika ukimaliza kusoma leo jioni hutasoma "lesoni" tena
 
Back
Top Bottom